Mchungaji wa Kiprotestanti Ezra Jin, mwanzilishi wa moja ya makanisa makubwa zaidi ya kiinjili yasiyotambuliwa rasmi nchini ...
Akiwa amevalia suti yake ya shingo ya kuzunguka, Mchungaji Chris Oyakhilome alitazama moja kwa moja kwenye kamera, akitangaza kwamba "hakukuwa na uthibitisho kwamba chanjo ziliwahi kufanya kazi". Kila ...
Aliekuwa mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Mandeleo - CHADEMA - Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amekihama chama hicho na kujiunga na chama tawala, CCM. Mchungaji Msigwa, ambaye ni mbunge wa ...
Mchungaji maarufu barani Afrika , Bushiri ametoroka Afrika kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana. Mchungaji Bushiri, ambaye alisema kuwa anataka kusafisha jina lake , amerejea katika nchi yake, Malawi, ...
Kiongozi wa dhehebu la njaa nchini Kenya amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa mauaji ya bila kukusudia, kuhusiana na vifo vya watu zaidi ya 400. Mackenzie aliwahubiri waumini kujiua kwa njaa ili ...
Mwinjilisti mashuhuri wa Uganda mchungaji Aloysius Bugingo, anayemuunga mkono Rais Yoweri Museveni, alijeruhiwa Jumanne jioni katika shambulio lililomuua mlinzi wake, polisi wa Uganda imetangaza leo ...
Mchungaji Daniel Mgogo ni maarufu sana katika mitandao yakijamii, kwa jinsi anavyo huburi. Umaarufu huo ume mpa fursa nyingi zaku alikwa ndani na nje ya bara la Afrika kutoa mafunzo na mahubiri. Hivi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results