Joshua B. Silomba ni Mchungaji Kiongozi – TAG, Lighthouse City Church, Nyamhongolo, Mwanza.
Diamond aliomba Serikali kujenga Arena wakati akiingia kwenye tuzo za muziki za ‘Trace’ zilizofanyika Februari 26, 2025 ...
Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ulifunguliwa mwaka 1988 na unaingiza idadi ya mashabiki 35,000. Dar es Salaam. Shirikisho la ...
Katika shughuli ya mazishi hayo, mama mzazi, Yusta alijikuta akipoteza fahamu kwa muda, huku akipewa msaada na wasaidizi wake ...
Dar es Salaam. Miradi 10 ya utafiti nchini Tanzania imepata ruzuku ya utafiti chini ya mfuko wa DEEP Challenge Fund unaotoa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa matamanio yake ni kuurejesha Mkoa wa Tanga kuwa wa viwanda, kama ulivyowahi ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Mkoa wa Tanga katika muendelezo wa ziara ...
Maisha ya mtu asiyekuwa na ajira rasmi yanahitaji ujanja, wakati mwingine maarifa hata kabla ya kutumia nguvu ili mradi ...
Madaktari bingwa wa watoto nchini wamependekeza itengenezwe aplikesheni maalumu itakayotumika kwenye simu janja kuwasaidia ...
Wakati upande wa utetezi ukifunga ushahidi wake katika kesi ya mauaji ya Josephine Mngara (30) aliyeuawa na kuteketezwa kwa ...
Kama ilivyotangazwa, INEC imeanza mchakato huo, huku wananchi wakipewa nafasi ya kutoa maoni yao kuhusu mpango huu.