Mahakama ya Rufani, imemng’ang’ania mkazi wa Kijiji cha Upendo, wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya (jina linahifadhiwa), ...
Wakati upande wa utetezi ukifunga ushahidi wake katika kesi ya mauaji ya Josephine Mngara (30) aliyeuawa na kuteketezwa kwa ...
Diamond aliomba Serikali kujenga Arena wakati akiingia kwenye tuzo za muziki za ‘Trace’ zilizofanyika Februari 26, 2025 Zanzibar ...
Madaktari bingwa wa watoto nchini wamependekeza itengenezwe aplikesheni maalumu itakayotumika kwenye simu janja kuwasaidia ...
Tathimini ya uwiano wa wagonjwa na wahudumu wa afya Zanzibar mwaka 2023/24 imeonesha kuwa kila daktari mmoja anatibu wagonjwa ...
Kama moja ya miji inayoongoza kwa ukuaji haraka barani Afrika, Dar es Salaam inakabiliana na changamoto kutokana na ...
Ripoti iliyochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaeleza kuwa watu 1,996,555 kati ya 3,717,980 walio katika ajira wanalipwa kati ya Sh0 hadi 499,999 wakati wanaolipwa mshahara ...
Lisu ambaye mwaka 2020 alikuwa miongoni mwa makada wa chama hicho waliojitosa kwenye kura za maoni, alishindwa na Elibariki ...
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ametoa wito kwa wananchi wanaoishi mabondeni kujiandaa kuhama mapema ...
Mshtakiwa huyo alishtakiwa chini ya kifungu 196 cha Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 iliyofanyiwa marejeo mwaka 2022.
Usiku wa Februari 26, 2025 limefanyika tukio kubwa la ugawaji wa tuzo za Trace Music Award lililofanyika Zanzibar kisiwani ...
Kigoma. Mahakama ya Wilaya Kigoma imehalalisha uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa minne katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma ...